GOLD GIVER MICROFINANCE LIMITED

Goldgiver microfinance ni kampuni inayotoa mikopo midogomidogo kwa riba nafuu kwa wajasiliamali na watu binafsi walio ndani ya wilaya mojawapo yalipo matawi yetu

MATAWI NA ANUANI ZAKE

ILEJE. MAKAO MAKUU –
Simu. 0687257783.
Ofisi zipo nyuma ya stendi kuu ya mabasi Itumba.
MBEYA.
SIMU.0719992800.
Tupo Soweto mabuchani mkabala na lunch time bar.
MBOZI.
SIMU.0768481234.
Tupo mkabala na jingo la Mboku mtaa wa Uhuru
MLOWO.
SIMU.0714294950
Tupo mkabala na stand ndogo ya mabasi yanayoelekea mbeya
IRINGA MJINI
SIMU.0673328484
Iringa tupo karibu na Duka la nguo la vunjabei
KYELA.
SIMU. 0769652188.
Tupo mkabala na chuo cha KPC..
MOROGORO MJINI
Stand ya zamani ya daladala Jengo la Equaty bank, ghorofa ya Tatu