Kuhusu Sisi

KUHUSU SISI

Goldgiver microfinance ni kampuni binafsi iliyosajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa huduma za mikopo kwa riba nafuu kwa watumishi wa umma pamoja na wajasiliamali wadogo na wakubwa. Makao makuu ya kampuni yapo Ileje mkoa wa Songwe, Kwa kiasi kikubwa kampuni ina matawi yake katika mikoa ya nyanda za juu kusini na imekuwa ikiendelea kufungua matawi yake katika maeneo mengine ndani ya Tanzania.

DHIMA

Dhima ya kampuni ya Goldgiver ni kutatua changamoto za kifedha kwa watumishi wa umma pamoja na wajasiliamali wadogo na wakubwa kwa kuwapa mikopo yenye riba nafuu na inayolipika kidogokidogo.

 

DIRA

Kuendelea kutoa huduma bora na yenye kuaminika kwa wateja wetu na kuwafikia watu wengi Zaidi ndani ya Tanzania.

MSINGI WETU